KONTENA LENYE VIFAA TIBA LILILOSUBIRIWA SIKU MBILI LAWASILI TARIME
Na Dinna Maningo, Tarime
HATIMAYE Gari lililobeba kontena lenye vifaa tiba lililosubiriwa kwa siku mbili limewasili hospitali ya wilaya ya Tarime.
Elisha Samo ambaye ni Katibu wa Mbunge wa Jimbo la Tarime mjini Michael Kembaki amesema mbunge atakabidhi vifaa tiba April, 29,2023.
Elisha Samo ambaye ni Katibu wa Mbunge wa Jimbo la Tarime mjini Michael KembakiAwali Mbunge wa Jimbo la Tarime mjini Michael Kembaki alisema Gari lililobeba kontena lenye vifaa tiba lililotarajiwa kufika katika Hospitali ya wilaya Tarime April 26,2023 litawasili leo April, 28,2023 na baada ya kuwasili atatoa taarifa kamili.
Post a Comment