MWANARIADHA mahiri, umetikisa dunia, Ulivyofanya vizuri, ushindi kujipatia, Shangwe kubwa siyo siri, na sifa kwa Tanzania, Hii kapeti nyekun...Read More
MUME na mke sikia, hili lipate ingia, Ndoa mmeshaingia, na humo mnasalia, Mwenzako kumwangalia, Mungu anafurahia, Kama mwaheshimiana, kutafu...Read More
WALE wamefanikiwa, na wasiofanikiwa, Muda wao uko sawa, na Mungu wamegawiwa, Kile kinaangaliwa, jinsi unavyotumiwa, Saa ishirina nne, zikuje...Read More
KWENYE hofu songa mbele, wala usirudi nyuma, Usingoje hofu ile, iishe umesimama, Wewe angalia mbele, hofu yote itakoma, Maisha piga hatua, k...Read More
KUWA na afya ya mwili, kunaboresha akili, Kama ni dhofli hali, unavuruga akili, Hebu tumia akili, ijenge afya ya mwili, Zingatia ushauri, uf...Read More
UKIWA mzima wewe, huwezi elewa kitu, Utajiona mwenyewe, mbele ya watu ni mtu, Na hata watu wenyewe, tadhani waona mtu, Mambo yakibadilika, u...Read More
ALAMA za barabarani, kwetu sote ni muhimu, Kizishika kwa makini, usalama unadumu, Ajali barabarani, zitakuwa ni adimu, Tuhakikishe alama, zo...Read More
WATU tunacheka nao, Tunafanya kazi nao , Watu tunaishi nao, Tuko nyumba moja nao, Watu tunalala nao, Chumba na kitanda nao, Lakini mioyo yao...Read More
HIVI twafahamiana, au tumeshaonana? Vipi sasa nakuona, unasogea kijana? Nini kwangu umeona, hata sasa twaitana? Kujuana kwa michango, mimi s...Read More
UZEE haukimbiwi, Ujana historia, Kukwepa huruhusiwi, ni lazima kupitia, Si michezo ya Shimiwi, ya kwamba hutaingia, Jiandae silemae, uzee un...Read More
NDOO iliyotoboka, huwa haijai maji, Hata kukiwa masika, kamwe haijai maji, Sababu unayaweka, ndoo haiyahitaji, Tobo likishazibika, utakidhi ...Read More
MSHUMAA utumike, uwake umalizike, Vema sana utumike, hata mwanga umulike, Wengine wafurahike, wenyewe utamatike, Ewe mshumaa pole, kuwaka ni...Read More
UNIPE kauli njema, katika mdomo wangu, Nakuomba ya karima, kwa hekima mola wangu, Mbele yako nasimama, nakuomba Mungu wangu, Unipe kauli nj...Read More
MIKONONI mwa manesi, wengi wetu tumepita, Mikononi mwa manesi, uhai tulipopata, Mikononi mwa manesi, na hawakutupepeta, Wauguzi na manesi, m...Read More
HIVI kuku ni kwa nini, huwezi ukatulia? Hizo kelele za nini, mbona unajichulia? Unataka tafrani, hivyo unavyojitia, Wakati mwingine ndugu, n...Read More