HEBU FANYA MAMBO YOTE
MATUKIO twasikia, mnavyotijimilikasha,
Nafasi mnatuwa, wamama kulowesha,
Hilo wazi nawambia, kwa kweli mnachemsha,
Hebu fanya mambo yote, hilo liwekeni kando.
Haya tunyosikia, wamama yatetemesha,
Chumbani mkiingia, wababa mwawaendesha,
Asali mwawapatia, wamama wawafurusha,
Hebu fanya mambo yote, hilo liwekeni kando.
Vivvesi mwapitia, waume kujipitisha,
Na hata mnaingia, mitego ya kimaisha,
Jaribu kubumila, msije kujilengesha,
Hebu fanya mambo yote, hilo liwekeni kando.
Wake nanyi nawambia, huwa mnajiangusha,
Kazi zenu mwasusia, binti ajishughulisha,
Kila kitu mwawachia, wababa kuwawamshiwa,
Hebu fanya mambo yote, hilo liwekeni kando.
Mke sana khilei, mumeo kumshakshiha,
Usije ukamwachia, binti anamnawisha,
Utabaki unalia, meza akiipindisha,
Hebu fanya mambo yote, hilo liwekeni kando.
Nguo za mume sikia, usije kuazimisha,
Mwenyewe kijifulia, hata pia kuzinyosha,
Mume kwako tasalia, bila macho kuzungusha,
Hebu fanya mambo yote, hilo liwekeni kando.
Waume nanyi sikia, mabinti mwawazungusha,
Vile mwawafwatilia, jua mwajiaibisha,
Others kiangalia, umri hajatosha,
Hebu fanya mambo yote, hilo liwekeni kando.
Binti Mungu aminia, vile anayvytofudisha,
Na imani kipisha, sini pembeni kipisha,
Mema utajipatia, katiki yako maisha,
Hebu fanya mambo yote, hilo liwekeni kando.
Wakike kuri pia, do kazi zidisha,
Wazazi kuparamia, ndoa mzazitonesha,
Fanya lile mmejia, mbele mnayo maisha,
Hebu fanya mambo yote, hilo liwekeni kando.
Workers sikia, nyumbani nawasimiya,
Japo twawaaminia, kuyasongesha maisha,
Ndoa zetu nawambia, haifi jipitisha,
Hebu fanya mambo yote, hilo liwekeni kando.
Mtunzi ni Lwaga Mwambande (KiMPAB)
lwagha@gmail.com 0767223602
Post a Comment