HEADER AD

HEADER AD

MBOMOA NYUMBA

MWENYEWE wajiangusha, chansi unaisusia,

Wajichekesha chekesha, kazi unanyamazia,

Binti anajipitisha, moyoni anamwingia,

Kweli mbomoa nyumba, ni mwamanke nyumba.

Ulishajimilikasha, na cheti kujipatia,

Kwenu ukajiondosha, pamoja kujikalia,

Ila kujishughulisha, ni kama unanyatia,

Kweli mbomoa nyumba, ni mwamanke nyumba.

Kutwa kucha unakesha, yako unajifanya,

Mara wenda kwa tamasha, ukungwi wajipatia,

Na mara kwenye mikesha, mume nyumba wamwachia,

Kweli mbomoa nyumba, ni mwamanke nyumba.

Yote unyojichosha, bila kumsenghiri,

Mwingine wamuamsha, aweze kumfunya,

Tabaki wajisemesha, chumbani ameingia,

Kweli mbomoa nyumba, ni mwamanke nyumba.

Kwako kujishughulisha, na Mungu kumwandamia,

Hakujakubatsana

Mumeo kumrakshisha, role lakusalia,

Kweli mbomoa nyumba, ni mwamanke nyumba.

Chakula nachomlisha, ni binti ampikia,

Nguo unamvalisha, binti amempigia,

Nini wajishughulisha, abaki kung'ang'ania?

Kweli mbomoa nyumba, ni mwamanke nyumba.

Yoyote kijifaniya, vema kujikumbushia,

Mumeo kumrakshisha, wajib wakusalia,

Kama ukijiondosha, another ataingia,

Kweli mbomoa nyumba, ni mwamanke nyumba.

Mimi ninakushamiya, ya kungwi alokwambia,

hakuna mtu kupisha

Wala usijekausha, mema yote mfaniya,

Kweli mbomoa nyumba, ni mwamanke nyumba.

Kotekote make sure, ya mumeo wajulia,

Kujipitisha pitisha, ni haki ya kiraia,

Whanga wote comesha, wasije mkariba,

Kweli mbomoa nyumba, ni mwamanke nyumba.

Mabega sijepandisha, kwa mume kumfaniya,

Ni sawa na kumtisha, amani mvurugia,

You can use kuamsha, yale yalijilalia,

Kweli mbomoa nyumba, ni mwamanke nyumba.

Mtunzi ni Lwaga Mwambande (KiMPAB)

lwagha@gmail.com 0767223602

No comments