HEADER AD

HEADER AD

MWANDISHI WA HABARI NA MTUNZI WA MASHAIRI AFARIKI

CHAMA cha Waandishi wa habari mkoani Mara, kinasikitika kuondokewa na Mwandishi wa habari ambaye pia ni mtunzi na mwimbaji wa mashairi Shomari Binda aliyefariki Julai, 03, 2025, katika hospitali ya Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere (Kwangwa) mjini Musoma.

Mazishi yatafanyika Jumamos, Julai, 5, 2025 nyumbani kwake Musoma.


No comments