MWANARIADHA mahiri, umetikisa dunia, Ulivyofanya vizuri, ushindi kujipatia, Shangwe kubwa siyo siri, na sifa kwa Tanzania, Hii kapeti nyekun...Read More
MUME na mke sikia, hili lipate ingia, Ndoa mmeshaingia, na humo mnasalia, Mwenzako kumwangalia, Mungu anafurahia, Kama mwaheshimiana, kutafu...Read More
WALE wamefanikiwa, na wasiofanikiwa, Muda wao uko sawa, na Mungu wamegawiwa, Kile kinaangaliwa, jinsi unavyotumiwa, Saa ishirina nne, zikuje...Read More